Mpini
HTML-код
- Опубликовано: 10 апр 2025
- Amos Mwijonge,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
katika kazi hii, amegusa hisia za undani kuhusu hali ambayo wengi wetu tumeipitia au tunaifahamu kwa namna moja au nyingine. Kwa kutumia mfano wa shoka na mpini wake, kuna ujumbe unaojitokeza kuhusu uhalisia na namna ambavyo mambo yanavyoweza kuwa tofauti na jinsi tunavyoyaona. Ni kazi inayokuacha ukiwa na tafakari kuhusu mahusiano yetu na wale tunaowapa nafasi karibu, na pengine hata kutufundisha kuwa makini zaidi.
Shot by: Erick Dickson,
Cast: Dionis Dominick,
Sound by: Dayzoo
Script: Naxy Pappy
Location: Kuya
Kazi nzuri mwamba, Baraka tele tokea Bara 🇰🇪. Siku zote twashukuru kwa nasaha.
asante mwalimu 🎉🎉🎉🎉😂
❤ mfano ni moyo wangu,ok kila usaliti uanza na Imani
Dhaah
Mwalimu😮😮
Maneno yako nimagumu kiasi ila niyenye maana sana
Maisha marefu sana🙏
Ubora wakazi zako unatusaidia sana kwene maisha yetu
Point kubwa 🎉
Ndiyooooo mwalimu
Oyaaa eee nakubl 👑
Code ya leo ngumu sana asee 🥲
Huyu genius nakubali sasa
Nimekupata thabiti bwana mkubwa Mwijonge Hongera sana.
Nakukubali san kaka
Binafsi cjakuelewa mwalimu ulichomaanisha nitoe gizani❤❤❤
Bw.Amos ume ya badilisha maisha yangu kabisa n pakubwa acha Mungu akupe neema nipo Mombasa Kenya 🇰🇪🙏
Anafanya mambo mazuri sana
Daaaah kweli kaka
Nakuelewa sana mwalimu wangu, Amos mwijonge 🙌
Mwalimu wangu❤❤
Nipe like za wa kongomani DRC
Ngoja nilale nimesha tibu akili zangu Asante mwalimu Amosi mwijonge 🤸🤸🛌🛌🛌🛌
Asant sna nimepata kitu
Imekaa poa mzee
AhsaNte kwa Elimu Ubarikiwe sanaa Kwamafundishi 🙏 Mwalimu Amosi mwijonge
Apah kweli uncle...
Ujumbe Mzito na mzuri.. Mungu akubariki brother
Walio hai huwafumba macho waliokufa, lkn waliokufa huwafumba macho waliolala ❤
Kazi safi na shati safi
Good work
Ukweri mchunguuu❤❤❤
Bunduki haiuwi, watu ndio wanaua
Mwalimu wangu Amos
Mungu akupe maisha marefu classmate wangu
Usinipe pole nipe haki...nimekusoma mkakaa😂
Familia yetu
Elewa neno mpini
Kazi nzuri
Nakupata vilivyo Kiongozi
Kaka amosi uko vizuli
Umetumia code ngumu🤣
Mpini
mwalim code yaleo ngumu sana🤔
Mwalimu Hilo shoka umechukua lile la Babu kishoka wa wrong house 😂😂😂
Akili zako haina akiliiiii ahhhahahahhahahaha
Gd
Kaka akika ongera unaumiza ubongo kufikili masomo mapya Kila siku nauzuli matamshi ayajiludii kwaapo tu ongera
Hii code ya leo aisee
Asante sana
Amos mbona siku hizi hupost Tena?
Familia yetu